Akon kunufaisha mamilioni ya waafrika
Asilimia 70 ya waafrika, wakiaminika kuwa chini ya umri wa miaka 35 wapo katika matarajio ya kufaidika na uwekezaji atakaoufanya staa wa muziki Akon kutoka Marekani, kufikisha umeme kwa zaidi ya waafrika milioni 600.