Wanariadha watanzania kuvunja rekodi Rio 2016
Wanariadha watatu wa Tanzania walioweka kambi katika kituo cha kimataifa cha Kip Keino High Altitude Training Centre cha Eldoret nchini Kenya wamesema kambi hiyo itawasaidia kufunika rekodi za wanariadha wanaoshikilia rekodi za Dunia.