Moto tena Tanzania na Kenya- wanafunzi warudishwa
Zaidi ya watoto 40 wanaosoma shule za msingi mpakani na Tanzania eneo la Naroki nchini Kenya, wamerudishwa nchini na wamehifadhiwa kwa muda katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Loliondo Wilayani Ngorongoro.