TZ yajipa matumaini ya ubingwa kikapu, Majiji
Timu za majiji kutoka Tanzania zimejipa matumaini ya kuingia katika hatua ya fainali na hatimaye kuibuka na ushindi katika mashindano ya mpira wa kikapu Afrika mashariki na kati yanayoendelea uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.