Vifaa vya kuogelea kusaidia timu kushinda - TSA
Chama cha kuogelea nchini TSA, kimesema vifaa kwa ajili ya kuogelea kwa washiriki wa michezo mbalimbali ya kimataifa vitasaidia wachezaji hao kuweza kuliwakilisha taifa vizuri katika ramani ya michezo.