Marufuku kuitisha maandamano Arusha-Sabas Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatusi Sabas. Kamanda wa polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas, amepiga marufuku vyama vya siasa vinavyotafuta umaarufu kwa kuitisha maandamano yasiyo na tija na kusema atakayethubutu atakutana na mkono wa dola. Read more about Marufuku kuitisha maandamano Arusha-Sabas