Mufindi wataka wodi ya dharura kuhudumia majeruhi
Serikali imeombwa kutazama uwezekano wa kujenga jengo la wodi ya dharura katika hospitali ya wilaya ya Mufindi na kuhakikisha uwepo wa vifaa tiba na wataalam wa kutosha ili kuokoa maisha ya watu wanaojeruhiwa katika ajali mbalimbali.
