Njombe wataka takwimu za UKIMWI Sehemu ya mkoa wa Njombe MKOA wa Njombe umeiomba taasisi inayo husika na utoaji wa takwimu za maambikizi ya UKIMWI na mwenendo wake hapa nchini kwa lengo la kujipima mapambano yao kama yamefanya kazi ama hayajafanya kazi. Read more about Njombe wataka takwimu za UKIMWI