Magonjwa yanayoshambulia mazao kudhibitiwa
Watalamu na watafiti wa mazao ya kilimo wameonyesha matumaini ya kudhibiti magonjwa yanayoshambulia mazao ya Migomba na Mhogo katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kubuniwa kwa teknolojia ya vipando vya mimea hiyo.