Stars kuifuata Misri kesho kuwania AFCON Jumapili Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kesho inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili dhidi ya timu ya Taifa ya Misri. Read more about Stars kuifuata Misri kesho kuwania AFCON Jumapili