Ukame wa maji Simanjiro wananchi hatarini
Zaidi ya wakazi elfu sita katika kitongoji cha Oltotoi Kijiji cha Narakawo wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wako hatarini kuambukizwa magonjwa ya milipuko na kuhara kutokana na ukosefu wa maji safi na salama.
