Serikali kuwajengea uwezo walimu sekondari nchini

Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia akifafanua jambo.

Serikali imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa sekondari nchini wanaofundisha masomo ya jiografia, hesabu, Kiswahili na kiingereza katika shule mbalimbali za serikali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS