Jimmy Gait kuwajaza mazawadi mashabiki
Staa wa muziki wa injili nchini Kenya, Jimmy Gait ametangaza mpango wa kurejesha fadhila kwa mashabiki wake wapenzi kwa kutoa zawadi ya pikipiki kwa wale watakaofanikiwa kushinda katika shindano la kucheza alilolianzisha.

