Shishi 'kubananishwa' na BASATA kwa kukiuka maadil
Kufuatia kusambaa kwa picha zinazoonyesha sehemu kubwa ya maungo ya mwili wa msanii wa muziki Shilole kutoka katika onesho lake alilofanya hivi karibuni huko Ubelgiji, msanii huyo anatarajiwa kulitolea ufafanuzi suala hilo mbele ya BASATA.