Uchaguzi TAHA wasogezwa hadi Agosti 29 Uchaguzi wa chama cha mpira wa mikono uliotarajiwa kufanyika Agosti 15 umepelekwa mbele ambapo utafanyika Agosti 29 mwaka huu ili kutoa nafasi kwa wadau wa mpira huo kuchukua fomu. Read more about Uchaguzi TAHA wasogezwa hadi Agosti 29