Wanafunzi wadaiwa kujiandikisha BVR Mtwara
Zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu kwa mfumo wa BVR limehitimishwa rasmi kwa mkoa wa Mtwara kwa siku ya jana huku changamoto zikijitokeza ikiwemo ya wanafunzi wa sekondari ambao hawajafikisha umri stahiki kujitokeza kujiandikisha.