Jamii yatakiwa kushirikiana kutokomeza ukatili

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sofia Simba

Serikali imewataka wazazi na walezi kushirikiana pamoja katika malezi ya familia ili kutokomeza ukatili wa kijinsia ambao huwakumba zaidi wanawake, watoto na watu wenye ulemavu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS