Nuh akabiliana na 'Mchepuko' live FNL
Utata kuhusiana na sakata zima la taarifa za Nuh Mziwanda kumtia mimba mchepuko, na kusababisha vita kali kati yake na Shilole ambaye ni mpenzi wake, limepatiwa ufumbuzi usiku wa jana katika show kali ya burudani ya Friday Night Live.