STL atangaza mavazi ya kiafrika
Staa wa muziki STL ambaye mbali na muziki pia kwa sasa ameshikilia kampeni ya kutangaza mavazi ya kiafrika aliyoyapatia jina Vaa Kiafrika, amepata nafasi ya kuonesha mitindo hiyo katika onesho kubwa la mitindo huko nchini Norway.