DAREVA kutafuta timu shiriki mashindano ya kanda Uongozi wa Chama cha Mpira wa Wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA, umepenga kutumia michezo ya shule za sekondari UMISSETA kusaka wachezaji watakaounda timu itakayoshiriki mashindano ya kanda. Read more about DAREVA kutafuta timu shiriki mashindano ya kanda