CHADEMA Kilosa yapinga wananchi kuchangishwa pesa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kimesema hakuna sababu wananchi kubebeshwa mizigo ya michango isiyoisha wakati wanakabiliwa na changamoto za kukosa huduma za afya na maji.
