Sitaongeza mkataba TP Mazembe - Samatta Mshambuliaji nyota wa TP Mazembe, Mtanzania, Mbwana Samatta amesema hatoongeza mkataba katika Klabu yake ya Tp Mzembe kwani anataka kufika mbali zaidi katika soka. Read more about Sitaongeza mkataba TP Mazembe - Samatta