Kozi makocha CAF daraja C kuanza Juni Kozi ya makocha Daraja la C inayoendeshwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF inatarajiwa kuanza mapema mwezi ujao jijini Dar es salaam. Read more about Kozi makocha CAF daraja C kuanza Juni