TBS na TAMISEMI kuungana kutokomeza bidhaa hafifu Bidhaa hafifu zikiwa dampo tayari kabisa kwa kuteketezwa. Shirika la viwango Tanzania TBS limesema kuwa limeingia mkataba na Ofisi ya Waziri mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wa kudhibiti bidhaa hafifu na bandia. Read more about TBS na TAMISEMI kuungana kutokomeza bidhaa hafifu