NEC yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi mkuu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania Jaji Mstaafu Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza rasmi ratiba ya uchaguz ikiwa ni pamoja na tarehe ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika Oktoba 25, mwaka huu. Read more about NEC yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi mkuu