Barabara za juu kutatua tatizo la foleni Dar.

Waziri wa ujenzi Mh. John Magufuli akisistiza jambo.

Serikali imesema imechukua hatua mbalimbali za kutatua tatizo la msongamano wa magari jijini Dar es Salaam kwa kuwa hilo ni suala mtambuka ambalo linahusisha Wizara ya Ujenzi na mamlaka mbalimbali ikiwemo halmashauri za jiji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS