Pinda apokea msaada wa vitabu shule aliyosoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Waziri mkuu Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS