Kinda Simba Sc Emily asaini mwaka mmoja Ujerumani Kinda wa Simba SC, Emil Josiah Mgeta amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Neckarsulmer Union Sports inayoshiriki Verbandsliga nchini Ujerumani. Read more about Kinda Simba Sc Emily asaini mwaka mmoja Ujerumani