VAT changamoto mikopo ya Nyumba nchini Tanzania
Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa mauzo ya nyumba ambayo huongeza bei ya nyumba, imetajwa kuwa moja ya changamoto inayodumaza biashara ya mikopo ya nyumba na hivyo kuwa moja ya vikwazo kwa wanaotaka kumiliki nyumba.