Tanzania yakuza biashara yake kwa nchi za EAC
Biashara ya Tanzania ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeendelea kuimarika na kuongezeka kutoka dola milioni 690.2 mwaka 2010 na kufikia dola milioni 1310. 9 mwaka 2014 kutokana na sera zilizowekwa na Tanzania katika mtengamano wa kiuchumi