Simba yavunja mwiko Simba day yapata ushindi.
Wekundu wa Msimbazi Simba hii leo wakicheza kwa mara ya kwanza mara baada ya kuwa katika kambi ya takribani wiki tatu huko Lushoto jijini Tanga na Zanzibar hii leo wameweza kuichapa timu ngumu ya Sports klabu Villa ya Uganda kwa bao 1-0.