Name: 
Abdallah Said Rajabu
Ni zamu yetu vijana hasa wale wenye umri wa miaka 18 na kuendelea twende tukapige kura ifikapo 25 octoba, nchi ni yetu tunahitaji mabadiliko
Category: 
Hamasisha