Lazima nipige kura, ni haki yangu. Watanzania tujitokeze ili kumchagua kiongozi atakayetufaa na kutuletea mabadiliko katika taifa letu, tusikubali ahadi zisizo tekelezeka. Read more about Lazima nipige kura, ni haki yangu.