Staa wa muziki wa miondoko ya bongofleva Feza Kessy
Staa wa muziki Feza Kessy, ambaye hivi sasa amezindua track ambayo ni kolabo yake na Chegge ya 'Sanuka', amefarijika kutumbuiza katika onesho kubwa la muziki la Party In The Park lililofanyika jijini Dar.