Director wa video nchini Tanzania, Hanscana anaye tengeneza video kali zinazo ingia kwenye Nyota 5 za FNL mara kwa mara atakuwepo kuongelea juu ya kazi yake ya ku-direct video za wasanii na maisha yake kwa ujumla.
Submitted by Dickson on Alhamisi , 27th Aug , 2015