Messi aifungia Azam FC, watoka sare na Mwadui FC Winga Ramadhani Singano ‘Messi’ amefunga bao lake la kwanza hapo jana Azam FC ikilazimishwa sare ya 1-1 na Mwadui FC ya Shinyanga uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Read more about Messi aifungia Azam FC, watoka sare na Mwadui FC