Wakereketwa wa vyama watakiwa kuwa wavumilivu

Bendera za vyama vitatu CUF, CHADEMA na CCM

Wananchi wametakiwa kuwa na utulivu na kutoshusha bendera za vyama wanavyo vichukia ili kuepusha migongano na vurugu wakati wa kipindi hiki cha uchaguzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS