Maofisa afya simamieni afya mashuleni-Pindi Chana
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto nchini Tanzania imewataka maofisa afya katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro kuzingatia usafi katika mashule ili kuhakikisha wanafunzi hawapati maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu.

