Michuano ya wazi Gofu kufanyika Agosti 29 Lugalo
Michuano wazi ya mchezo wa Gofu inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 29 mpaka 30 Uwanja wa Lugalo jijini Dar es salaam kwa kushirikisha wachezaji takribani 200 kutoka vilabu mbalimbali na wachezaji binafsi.
