Lowassa amaliza ziara ya kutafuta wadhamini
Mgombea Urais wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Mh Edward Lowasa amekamilisha ziara ya kutafuta wadhamini katika visiwa vya Zanzibar na amewaahidi wananchi wa visiwa hivyo kutumia uwezo wake wote kushughulikia kero.