TFF KUFUNGIA WIWANJA VISIVYOFIKIA VIGEZO VYA LIGI
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limesema halitaruhusu viwanja vilivyo chini ya viwango vya ubora unaotakiwa kwaajili ya kuchezezwa ligi za soka hapa nchini vitumike kama havijafanyiwa marekebisho kufikia ubora unaotakiwa na shirikisho hilo.