Name: 
Eatv
NEC imefanikiwa kubaini jumla ya majina 52,000 waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kupitia mfumo wa Kielektroniki(BVR).
Category: 
Habarisha