Waratibu elimu wapewa pikipiki Kigoma
Mkoa wa kigoma ni miongoni mwa mikoa saba nchini inayotekelza mradi wa kuboresha elimu ya msingi kwa kushirikiana na shirika la equip Tanzania baada ya kuwepo kwa wanafunzi waliomaliza darasa la saba huku wakiwa hawajui kusoma na kuandika.
