UVCCM yamwondoa Kingunge kuwa kamanda wao
Kikao cha baraza kuu UVCCM kilichofanyika katika ukumbi wa mwalimu J. Nyerere Dar es saalam chini ya mwenyekiti wake Sadifa J. Khamis kimemuengua na kumfukuza Kamanda wao wa taifa ndugu Kingunge Ngombale Mwiru.