TAMISEMI shughulikieni barabara vijijini-JK
Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa serikali za mitaa kuhakikisha kuwa wanajenga barabara maeneo ya vijijini ili kuchochea maendeleo katika maeneo ya vijijini na kufungua fursa mbalimbali za kiuchumi zilizoko katika maeneo hayo.
