Sisi vijana yatupasa sasa kuwa chachu ya maendeleo. Watanzania tena hasa vijana tujitokezeke katika uchaguzi huu ili tuweze kuchagua viongozi wanaotufaa na watakaotuletea mabadiliko ya Kweli. Read more about Sisi vijana yatupasa sasa kuwa chachu ya maendeleo.