Tuchague viongozi wawajibikaji. Watanzania tujitokeze kwa wingi kupiga kura ili tutimize haki ya kidemokrasia kumchagua kiongozi bora, hasa vijana wenzangu ni zamu yenu sasa kufanya maanuzi. Read more about Tuchague viongozi wawajibikaji.