7 wafariki kwa kipindupindu Dar na Morogoro. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imesema watu 7 wamekufa na ugonjwa wa kipindupindu huku wagonjwa 230 wakilazwa katika kambi mbali mbali katika mikoa ya Dar es salaam na Morogoro. Read more about 7 wafariki kwa kipindupindu Dar na Morogoro.