Party In The Park yawapagawisha mashabiki
Bata la aina yake sambamba na burudani ya muziki na maonyesho ya Live, yameipamba siku ya jana katika Party in The Park, mitindo, hadhi na furaha ya kiwango cha juu ikitawala nyuso za umati mkubwa uliohudhuria tukio The Green Oysterbay.