Stars kujipima na Libya Ijumaa nchini Uturuki Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na Libya siku ya Ijumaa kwenye moja ya viwanja vilivyopo mjini Kartepe, Uturuki. Read more about Stars kujipima na Libya Ijumaa nchini Uturuki